Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DKT . John Pombe M magufuli awahakikishia wananchi kuwa serikali yake imedhamiria kuondoa kero mabalimbali ikiwemo kufuta baadhi ya kodi zenye kero.
Wakati akizungumza na Wananchi wa jiji la Mwanza ameahidi kuwapatia vitambulisho wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga iliwaweze kufanya biashara zao bila kusumbuliwa.
Aidha Raisi ameyasema hayo wakati akihutubia wananchi katika ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Mwanza.nakusema kuwa serikali yake ya awamu ya tano imepania kupambana na ufisadi kwa lengo la kuwaletea watanzania maendeleo bila kujali tofauti za kidini na kisiasa.

No comments
Post a Comment