FRUSA ZA MASOMO NA AJIRA KWA VIJANA
HABARI NJEMA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA
Mkuu wa Chuo cha Hotel management ,Utawala ,Utalii na Uandishi wa Habari .GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE.[GITC] MAKAMBAKO.
Anatangaza nafasi za Masomo kwa kozi zifuatazo.
. TOURISM AND WILDLIFE MANAGEMENT
. HOTEL MANAGEMENT AND FRONT OFFICE SERVICES
. JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
.HUMAN RESOURCES ADMINSTRATION
.BUSINESS ADMINISTRATION
COMPUTER PROGRAMS
Chuo kipo Makambako Mkoani Njombe Tanzania .Chuo kipo mazingira mazuri ya kujifunzia
Kujiunga na Chuo hiki unafursa kubwa ya kuajiriwa ndani ya nchi na hata nje ya nchi na unaweza kujiunga na vyuo vikuu vilivyopo Tanzania na nje ya Tanzania kwani Wahitimu wetu wote wamenufaika na ajira na wengine wanaendelea na masomo ya juu katika vyuo vikuu.
kwa mawasiliano jinsi ya kujiunga na chuo waweza kupiga simu :0762624906/0759205617.
Nyote mnakaribishwa
Hawa ni baadhi ya wanafunzi walipo enda kutembelea hifadhi ya wanyama ya Ifisi Mbeya
wakiwa kwenye uzio wa wanyama.
Hawa nibaadhi ya wanafunzi wakiwa porini kusoma kwa vitendo somo la [Botany ] somo la mimea .baada ya kusoma darasani kwa nadharia .
Chuo kina walimu waliobobea kufundisha kwa vitendo na nadharia mwanachuo atokapo katika chuo chetu anakuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi na pia anakuwa na uelewa mkubwa wa masomo aliyeyachukua.
.

No comments
Post a Comment