Header Ads

Header ADS

Makamo wa Rais Samia Suluu Hassani amesitaka taasisi za kifedha za nchi za jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika SADEC Kuacha utegemezi wa misaada kutoka nje ya nchi

 Hayo yamesemwa na Makamo wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kufungua mkutano wa taasisi  za kifedha kutoka nchi za SADEC.
            Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo  Samia ,amesema taasisi za kifedha zinajukumu la kuchangia na kubolesha pato la Taifa na kuimarisha sekta binafusi.



      Naibu waziri wa fedha na mipango Dk Ashati  Kijaji ,alisema mkutano huo unazikutanisha  taasisi 37 za kifedha za nchi za SADEC.Kutoka nchi 14 zinazo fanya mkutano wa mwaka hapa nchini huku kauli mbiu  ni mkakati wa maendeleo ya viwanda katika maendeleo endelevu.
       Kijaji ameendelea kusisitiza kuwa  katika bajeti iliyopitishwa hivi karibuni ni viwanda na akaeleza kuwa mkutano huo ni mhimu kwani hakuna viwanda kama hakuna fedha.Alisema kwa sasa nchi za SADEC zinahitaji kutumia rasilimali  za ndani badala ya kutegemea fedha za nje.

No comments

Powered by Blogger.