Chama cha ACT WA ZALENDO chaanza ziara ya mikoa saba ya hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama
Kaimu mwenyekiti wa chama hicho ambaye ndiye atakaye ratibu ziara hiyo Ndugu Yeremia kulwa Maganja , ataanza rasimi ziara ya mikoa saba ya Tanzania bara kwa ajili ya kuangalia uhai wa chama na maandalizi ya uchaguzi wa ndani ya chama ambao upo ngazi ya chama kwa sasa.
Kwa mujibu wa mwenyekiti Maganja ziara itaanza razimi 17,Julai,2017 katika mkoa wa Mara na kuongozana na katibu wa kamati ya kampeni na uchaguzi Ndugu Mohamed Massanga .
Naye mwenyekiti aliitaja mikoa saba ya Tanzania Bara watakayo tembelea kuwa nipamoja na Mara,Simiyu ,Shinyanga, Mwanza,Kilimanjaro, Arusha na Manyara.
Kwa mujibu wa Afisa habari wa ACT .Ziara ya kiongozi huyo itakuwa n i ya mara ya kwanza toka alipopokea kijiti cha uenyekiti wa chama hicho kwa mama Anna Mghwira aliyeondolewa katika nafasi hiyo baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Raisi Jonh Pombe Magufuli .

No comments
Post a Comment