Header Ads

Header ADS

Kampuni la uchimbaji madini nchini la Accacia la sema halinapesa za kuilipa serikali ya Tanzania.



            Mbunge wa Kigoma Mjini bwana  Zitto Kabwe ,Ameitupia lawama Serikali baada ya kampuni la Accacia kusema hawana Dola milion 300 za kuilipa Tanzania wakati juzi serikali ilitangaza kuwa kampuni hiyo imekubali kulipa .
           Zitto ,wakati jana mchana  akifanya mahojiano maalumu ,alisema kuwa alitegemea sauti ya kusema wapo tayari kulipa itoke kwenye kampuni ya Accacia na siyo Barrick , Kwani siyo mara ya kwanza kwa Barrick  ,kutoa ahadi kama hiyo. [Ambaye Zitto amefananisha kama kishika uchumba] .Kwani hata 2016 walibanwa na bunge kuhusu misamaha ya kodi waliahidi hivyo hivyo.
            Mbunge huyo ameendelea kusema kuwa tangu juzi  sana kusikia serikali ikisema kwamba tumefanikiwa kwani haikuwa inazungumza na kampuni la Accacia  bali mmiliki wa Kampuni Barrick na kutokana na sheria za makampuni mmiliki  kama mmiliki anasimama mwenyewe  na kampuni husimama yenyewe .

No comments

Powered by Blogger.