Waziri Mkuu Mstaafu , Mh Edward Lowassa amewakaribisha wanachama walio katwa majina yao kutoka chama cha CCM, kujiunga na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.
Lowassa, Ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA ,Amewakaribisha wanachama walio katwa majina yao katika kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama cha CCM, Kujiunga na Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.
Waziri huyo Mstaafu ,Amenukuliwa akisema kuwa, Nimesoma na kusikia baadhi ya waliokuwa Viongozi wa CCM, Wamekatwa ama kutetea nafasi zao ama kugombea kwa sababu mbalimbali na jina langu limekuwa likiendelea kutajwa tajwa humo .Alinukuliwa akisema hivyo .
Lowassa , alisikika akisema mimi nawakaribisha watanzania wenzetu waliokatwa CCM ,Kujiunga na Ukawa [CHADEMA]wafurahie Demokrasia .
Lowassa, Ambaye alikuwa Mgombea Urais ,katka uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kupitia mwavuli wa Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA ,Yaani CHADEMA,NLD,NCCR,CUF.Na kusindwa na mpinzani wake Jonh Mgufuli wa CCM .
No comments
Post a Comment