Ujensi wa ukuta wa madini wazinduliwa Mererani
Kamanda wa oparesheni ukuta mererani Kanali Festus Mang'wala alimweleza Mkuu wa Mkoa wa Manyara , Alexander Mnyeti kuwa mgeni rasimi katika uzinduzi huo anatarajiwa ni mkuu wa JKT ,Meja Jenerali Michael Isamuhyo .
Alisema ukuta huo unajengwa kwa agizo la Raisi John Magufuli , ambao unatarajia kumalizika baada ya miezi sita .
Kanali Mang'wa alitoa shukuruni kwa serikali ya Wilaya ya Simanjiro kwa ushirikiano mkubwa wanaowapa askali hao wakati wa utekelezaji wa maandalizi ya ukuta huo .
No comments
Post a Comment