Header Ads

Header ADS

Huduma za Serikali ya Marekani za kwama kufanikiwa tena












        Huduma za  Serikali ya Marekani zimekwama baada ya Bunge la Kongress kushindwa kupitisha mkakati muhimu wa bajeti yake kwa wakati unaofaa . Wabunge walitegemeakuwa watapitisha matumizi mapya kabla ya muda wa kufadhili bajeti hiyo kukamilika .
         Seneta wa Republican Rand Paul  ,alimaliza matumaini ya kupigwa kwa  kura  ya haraka  wakati alipoitisha mjadala Bungeni  kuhusu Marekebisho ya matumizi .Mnamo mwezi wa kwanza kisa kama hicho cha kushindwa kupitisha matumizi ya Serikali katika wakati unaofaa kilichosababisha Serikali kuwa na mkwamo wa siku tatu.

No comments

Powered by Blogger.