Mwanasheria wa Upinzani nchini Kenya Miguna Miguna amezuiliwa kuingia Nchini humo baada ya kukataa kuomba visa.
Miguna Miguna ,ambaye ni Mwanasheria kwa upande wa Upinzani Nchini Kenya anasafiri kwa kutumia kibali chake cha kusafiria cha Canada baada ya kuvuliwa Uraia nchini Kenya .
Mamlaka Nchini Kenya ilimrudisha Canada daaba ya huhusika katika kumuapisha kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kama Rais wa watu.
Wiki iliyopita Bwana miguna alisema kuwa mamlaka nchini Kenya haijafuata maagizo ya Mahakama ya kumpatia hati za kusafiria za Kenya .Mahakama ya Kenya ilitoa amuri kwa Serikali kurudisha hati za kusafiria Miguna na kusaidia katika kurejea kwake baadalayake kwa mjibu wa Miguna Serikali haijafanya hivyo.
No comments
Post a Comment