Header Ads

Header ADS

Rais wa burundi Nkurunziza atangazwa kuw kiongozi wa kudum katika chama chake















Tawala inchin Burundi CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunziza kama kiongozi wa k
udumu au kiongoz wa mileie wa chama hicho
Uamuzi huo umefikiwa baada ya vikao vya siku tatu vya mkutano mkuu wa chama hicho ulio fanyika katika mji wa Buye aliko zaliwa bwana Nkurunziza kaskazin mwa inch hiyo.
 uamuzi huo unachukuliwa wakati Burund inajiandaa kufanya marekebisho ya katiba ili kumruhusu Rais Nkurunziza kuendelea kuliongoza Taifa hilo hadi 2034.
    Taarifa fupi kutoka chama cha CNDD/FDD imesema vikao hivyo vilinuia kuimarisha chama tawala na Taasisi zake. lakin pia chama hicho tawala kimechukua uamuzi wa kumuongezea hadhi na kumpa cheo cha juu Rais Nkurunziza na hivyo  kumtangaza kuwa ni kiongozi mkuu wa kudum ndani ya chama.
 kwenye hafla na makundi ya utamaduni ya chama tawala katibu mkuu wa CNDD/FDD Bwana Evariste Ndayishimiye aliutangazia umat azimio  alolitaka kuwa ni muhim mno katika uhai wa chama tawala.
   Tangazo hili la chama tawala CDD/FDD  Kumfanya Rais Nkurunziza kama kiongozi wa kudumu linajiri wakati Burundi inajiandaa kwa kura ya maon kuhusu marekebisho ya katiba baadae mwezi mei. kati ya mambo mengi katiba hiyo ikipitishwa itamuwezesha Rais Nkurunziza kuweza kuwania urais mpaka mwaka2034.

 
.                                                       

No comments

Powered by Blogger.