Theresa May amesema Urusi imehusika kumshambulia Sergei Skripal
Waziri Mkuu wa Wingereza Theresa May amesema kuwa Serikali yake inaamini kuna uwezekano mkubwa kuwa Urusi imehusika katika shabulio la mpelelezi wa zamani wa Urusi Sergei
mtoto wake wa kike ,lililo tokea kusin mwa uingereza katika mji wa salisbury Aidha Bi may ameongeza pia inawezekana tukio hilo limeiengwa moja kwa moja na urus dhid ya uingereza ama urus imeshindwa kudhibit kemikali zake hatari. kuna mambo mawili tu yanaweza kuhusika katika shambulio lililo tokea , inawezekana serikali ya urus ilikusudia kufanya tukio hili hapa uingereza ,ama imeshindwa kudhibiti siraha hizi hatari za kemikali na hivyo imesababisha imetumwa na watu wengine, alisema may.
No comments
Post a Comment