Header Ads

Header ADS

Chadema wamvua uongozi Mwenyekiti Siha

         Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Somon Mmari ,amevuliwa uenyekiti wa Chama hicho baada ya kupatikana kuwa anakosa la usaliti wa chama.
           Kwa mjibu wa kamati ya Utendaji ya Chama hicho ngazi ya Wilaya imeeleza kuwa mbali na makosa ya usaliti imemtia hatiani  kwa makosa mengine matatu.













           Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa kamati ya Utendaji ya Chama ngazi ya Wilaya imeelezwa kuwa  Somoni ,amekuwa akitumia mikutano ya Mbunge wa Jimbo hilo Dokt ; Godwin Mollel [CCM] Kuwa shutumu baadhi ya Madiwani wa Chama hicho.
           Katibu wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Basili Lema ,amesema uamuzi huo ulifanyika jana mchana katika kikao husika cha chama.

No comments

Powered by Blogger.