Serikali yakabidhi Vitabu 30355 Mkoani Njombe.
Serikali Mkoani Njombe kupitia Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa TAMISEMI Imekabidhi vitabu vya Darasa la nne 30355 katika Wilaya nne ikiwa ni kusaidia kuinua kiwango cha Elimu katika Shule mbalimbali za Mkoani Njombe.
Hayo yametolewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Njombe ,ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ,pia ametaja mgawanyo wa vitabu kuwa Maarifa ya Jamii vitabu 6906 ,Uraia Vitabu 6906 Kiswahili Vitabu 6858 Hisabati Vitabu 5772 ,Kiingereza Vitabu 3913, Wakati Halmashauri ya Njombe ikiwa imepokea vitabu 4634. Muwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu TAMISEMI ,.Ndugu Salmu Mkuya amesema utoaji wa vitabu hivyo ni mkakati wa Serikali na utekerezaji wa ilani ya CCM ya kuinua idadi kubwa ya ufaulu mashuleni.

No comments
Post a Comment