Header Ads

Header ADS

Chadema walalamikia Tume ya Uchaguzi Korogwe Tanga.

                Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema  katika Jimbo la Korogwe Vijijini  Mkoa wa Tanga. Umeilalamikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania katika mchakato wa  uteuzi wa kumpata mgombea nafasi ya Ubunge na kumpitisha Mgombea wa Chama cha mapinduzi bila kupingwa kwa madai kuwa mgombea kwa upande wa Chadema alichelewa kupeleka fomu.

























No comments

Powered by Blogger.