Chadema yakata rufaa Jimbo la Korogwe Vijijini Tanga .
Mgombe wa Ubunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini Tanga kupitia Chama cha Chadema Aminna Ally Saguti amekata rufaa ya kumpinga Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CCM ,ambaye alitangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi kuwa amepita bila kupingwa.Kwa mjibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema barua ya rufaa yao ya kupinga mgombea wa CCM bila kupingwa imeshapokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Korongwe Frolian Kimaro .
Itakumbukwa kuwa Aminna Ally Saguti ambaye ndiye Mgombea wa Ubunge kupitia Chadema katika Jimbo la Korogwe Vijijini alikumbana na vikwazo wakati wa upelekaji fomu ya ugombea baada ya kupeleka katika ofisi ya Msimamizi wa uchaguzi na kukuta hayupo na baada ya muda kuona jina la mgombea wa CCM ,limebandikwa ukutani kwa madai amepita bila kupigwa vyama vingine vya upinzani vimechelewa kurejesha fomu kitu ambacho kiliwangaza sana hasa vyama vya upinzani Nchini Tanzaia.
Aidha fomu namba 12 ,Ilipatikana kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya Uongozi wa CHADEMA ngazi ya ,Taifa kulazimika kufanya mawasiliano ilikupata fomu hiyo kutoka kwa Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Korogwe kukataa kutoa.

No comments
Post a Comment