Header Ads

Header ADS

Dk .John Magufuli ,amempa kalipio kali Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano


Rais ,wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli , amemwambia Wazili wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano  ,Isack Kamwela kuwa atamfukuza kazi endapo  Mkandalasi wa Ujenzi wa daraja la mto Sibiti  ambalo lipo mpakani mwa Mkoa wa  Singida na Simiyu  ambalo limishikwa na kampuni ya  China Henan  International  Corporation haitamaliza ujenzi huo kwa wakati.












      Pia Rais Magufuli amekaliliwa akisema kuwa  Waziri Izack  Kamwela naomba  mjipange nimeshangaa ulipoanza kuongea mambo ya mkandarasi  nikajiuliza na wewe umeshaanza  kula hela , tutafukuzana hapahapa ' Maroli Mawili ndio yataweza kujaza  vifusi hapa ,Contractor  gani huyo ,Yaani ametoka China na Maroli Mawili tu ,mkiona hafai mfukuzeni "  Magufuli alisema.
     ",Waziri ,Katibu Mkuu na TANROD ,Ninataka daraja hili likamilike  'nimekujakuweka jiwe la msing nataka nikipita tena nipite juu ya daraja .Mkionahafai mfukuzeni acha kuchezea hela za watu ."
         Pia amemtaka Mkandarasi huyo kuacha kutoa sababu kuhusu ucheleweshaji wa mradi huo kwa kuwa  wananchi hawataki kusikia  sababu bali kukamilika kwa daraja hilo.
        Magufuli amesema kuwa ujenzi wa daraja la mto huo ulianza tangu mwaka 2013 utakuwa wa kwanza kufuatilia na kuagiza kuwa ifikapo mwezi machi 2019 ujenzi wa mradi huo uwe umesha kamilika .

No comments

Powered by Blogger.