Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania JPM .Yazua mjadala mzito miongoni mwa wanajamii na wanaharakati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli anewataka wanawake kuacha kutumia dawa za kupanga uzazi .Pia nakuongeza kwa kusema kuwa nchi inahitaji watu wengi .
Rais Magufuli akiongea na wananchi wa Tanzania amesikika akisemakuwa " Wanawake wa sasa wanaweza kuacha kutumia dawa za kupanga uzazi .Jambo ambalo wanasiasa na wanaharakati wamelikosoa vikali.
Pia Mbunge wa Upinzania Cecil Mwambe amemkosoa na kusema kuwa matamshi yake yanakwenda kinyume na sera za afya za Tanzania .Pia ikumbukwe kuwa Tanzania ina watu takribani milioni 53 na asilimia 49 ya watanzania wanaishi chini ya dola mbili kwa siku.

No comments
Post a Comment