Barabara ya juu kufunguliwa leo
Barabara ya juu inatarajiwa kuzinduliwa leo ikiwa mgeni razimi ni Rais, wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk . Jonh Pombe Magufuli.
Hafla ya uzinduzi wa daraja la juu flyover utafanyika leo 27 Septemba 2018, katika makutano ya barabara za Mandela na Nyerere katika eneo la TAZARA , Jini Dare s Salaam .Kwa mjibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dare s Salaam Paul Makonda amesema kuwa flyover hiyo itapunguza msongamano barabarani iliyokuwa ina leta hasara ya sh bilioni 400 kwa mwezi .
Pia Paul Makonda amesema kuwa amewaarika pia viongozi wa upinzani kwenda kushudia tukio hilo na kuwa atawaweka sehemu maalumu ya kukaa akiamini kuwa viongozi hao ndio wanaoongoza kuponda maendeleo hayo .
Ikumbukwe kuwa mnamo tare 15 Semptemba 2018,Msemaji mkuu wa Serikali Dkt .Abbas Hassan ,alithibitisha kuwa Serikali imeruhusu kuwa barabara zianze kutumika kwa majaribio hadi pale uzinduzi utakapofanyika .

No comments
Post a Comment