Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesema kitakuwa tayari kumkaribisha Katibu Mkuu wa CUF .
Chadema kimesema kuwa kitakuwatayari kumkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi [CUF] Maalim Seif ,endapo chama chake kitakufa
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Hashimu Issa Juma wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa Chadema hawafurahishwi na kinachoendelea ndani ya CUF na endapo kitakufa wao watakuwa imara zaidi kwa upande wa Zanzibar na kumpa nafasi ya kugombea Urais Maalim kupitia Chadema Viziwani humo.
Hashimu aliendelea kusema kuwa Chadema na CUF ni kitu kimoja ,kwa hiyo CUF,ikitetereka sisi tutaimarika zaidi na kupata nguvu Zanzibar na sisi tutawakaribisha wagombea wote Zanzibar wachukue fomu na kugombea kupita Chadema na hiyo ndiyo mipango yetu kama Baraza la Wazee .
Pia amesema kuwa sababu kuu ya msingi ya Chadema na CUF kuungana ilikuwa ni kukubakika kwa CUF,kwa zaidi ya asilimia[80%] katika Visiwa vya Zanzibar lakini kwa sasa chama cha mapinduzi [CCM] kikifanikiwa kiipangua CUF ,Zanzibar Chadema haitashindwa kuchukua hatamu huko .

No comments
Post a Comment