Tangazo la nafasi ya kazi ya kufundisha uandishi wa habari.
Mkurugenzi wa Chuo cha Grossal Institute training college kilichopo Makambako Mkoani Njombe.Anatangaza nafasi ya kazi ya Mwalimu wa Kufundisha kozi ya Uandishi wabari na utangazaji.
Sifa ya muombaji
.Awe mwenye Diploma ya Uandishi wa habari au Digrii ya uandishi wa habari kutoka katika chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
.Awe alisha wahi kufanya kazi ya uandishi wa habari katika media au chombo cha habari chochote kile kwa muda usio pungua mwaka mmoja.
Awe mwenye uwezo wa kufundisha kwa kutumia lugha ya kiingereza.
.Awe na uwezo wa kutumia komputa.
Namna ya kutuma maombi
Tuma barua yako ya maombi ukuambatanisha CV yako pamoja na Vivuli vya vyeti vyako vya taaluma.
.Kupitia Email : grossalinstitutetrainingc@gmail.com.
Mwisho wa kutuma maombi ni tare 6.2.2019.

No comments
Post a Comment