Kabendera asomewa mashitaka mahakamani.
Mwandishi wa habari Erick Kabendera amepandishwa kizimbani kusomewa mashitaka mapya ya ubadhirifu wa uchumi.Mwandishi huyo anatuhumiwa na kujihusisha na genge la uharifu na uhujumu wa uchumi nchini kukwepa kodi zaidi ya milioni mia moja za kitanzania ,kosa la tatu ni utakatishaji wa fedha zenye dhamani ya zaidi ya milioni mia moja na sabini.
Kulingana na mashitaka yaliyowasilishwa mahakamani Kabendera anadaiwa kutekeleza hayo kati ya Januari 2015 na Julai mwaka huu mjini Daresa Salaam na baadhi ya makosa anadaiwa kuyafanya kwa ushirikiano wa watu ambao leo hawakuwepo makamani pia makosa yote hayana dhamana.
Pia mawakili wake wameondoa ombi la dhamana kutokana na mashitaka hayo mapya .Wakili wake Jebra Kambole amesemakuwa wakati Erick anakamatwa siku ya kwanza aliambiwa kosa lake ni la uhamiaji akapelekwa kwenye mamlaka za uhamiaji akahojiwa paspoti yake ika chukuliwa uhamiaji wakamkabidhi kwa jeshi la polisi makao makuu central jeshi la polisi wakamhoji kwa makosa ya uchochezi
kuanzi hapo hajawahi kuhojiwa kwa makosa mengine" Amesema Kambole"
Kesi inategemewa kusikilizwa tena Agosti 19 mwaka huu.

No comments
Post a Comment