Wananchi wa kata ya kitisi katika halmashauri ya mji wa Makambako wataka milioni 100 walizo ahidiwa na Diwani.
Wananchi wa Kata ya Kitisi wadai fedha walizoahidiwa na Diwani kata hiyo Nevi Sanga kwaajili ya ukarabati wa stendi mpya Makambako iliyopo katika kata ya kitisi.Hayo wameyasema mbele ya Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga maarufu kwa jina la Jah People wakati akiwa kwenye ziara ya kusikiliza kero za wananchi katika viwanja vya shule ya msingi kahawa.
Kwa upande wake Diwani wa Kata hiyo amekili kuwa walitenga bajeti ya milioni 100 lakini kwa bahati mbaya mapato ya Halmashauri yalikuwa madogo ikapatikana milioni 20 ambayo ilitumika katika ujenzi wa vibanda vya kupumzika abiria. Pia Diwani huyo amesema kuwa ujenzi wa stendi hiyo unategemea mapato ya ndani ya Halmashauri.
Pia Mbunge wa Jimbo hilo Deo Sanga amesema bajeti itakapo kuja kutimia itaenda moja kwa moja katika ujenzi wa stendi hiyo kwa sababu wanategemea mapato ya ndani .pia amezungumzia kuhusu msongamano wa wagonjwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Makambako na kugundua kuwa tatizo kubwa ni upungufu wa vyumba na kutoa msaada wa kujenga vyumba viwili katika hospitali hiyo.
Mbunge huyo alimesemakuwa Makambako tuna mradi mkubwa wa maji unao gharimu bilion 55 na unaanza kujengwa kuanzia mwezi wa 9 tisa mwaka huu na anauhakika mkubwa wa tatizo hilo la maji kutatuliwa .

No comments
Post a Comment