Kanisa la KKKT wamchagua tena Askofu Dkt. Shoo kuongoza tena.
Baada ya Askofu Fedrick Shoo kuongoza kwa kula 144 dhidi ya 74 ya mpinzani wake amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Mkuu wa Kanisa la kiinjili la Kilutheri[KKKT]
Kutokana na ushindi huo Dkt Shoo anashika fursa ya kuendelea kuliongoza kanisa hilo kwa miaka mingine minne kwa kufuata nyayo za Wakuu wengine waliopita ambapo waliongoza kwa vipindi viwili vya miaka minne.
Usiku wa kuamkia leo jumamosi Agosti 24,2019.Askofu Dkt.Shoo ametangazwa rasmi kuwa mshindi baada ya kumalizika kwa uchaguzi uliofanyika jijini Arusha na kutawaliwa na kila aina ya upinzani.
Aliongoza kwa kura 144 kati ya 218 huku mpinzani wake Askofu Abednego Keshamshahara wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi akifuatia kwa kura 74.

No comments
Post a Comment