Maajabu ya Ziwa Ngosi.
Ziwa Ngosi ni ziwa linalopatikana katika nyanda za juu kusini mwa Tanzania.Ziwa hilo linapatikana katika Mkoa wa Mbeya Tanzania.Ziwa Ngosi la pili kwa ukubwa Afrika linalotokana na Volkano baada ya ziwa lingine la kreta lililopo Ethiopia linasadikika kuwa linamuonekano wa Bara la Afrika katika upande wa kusini magharibi , kasikazini na mashariki pamoja na visiwa vyake vya unguja na pemba.
Huu ndio muonekano wa ziwa Ngosi lililopo ndani ya msitu wa poloto ambalolina urefu wa kina takribani meta 74.Pia maji yake hubadilika rangi kutoka bluu -kijani nawakati mwingine bluu iliyokolea .Ziwa hilo halina mto unaoingiza au kutoa maji.
Huu ni msitu wa asili poroto unaopatikana katika ziwa hilo pia ziwa hili linapatikana juu ya milima na katikati ya misitu na linaurefu wa kilomita 2.5 na upana wake na kilomita 1.5 Pia linaukubwa wa hekta 9332.

No comments
Post a Comment