Header Ads

Header ADS

Mkoani morogoro watu wafariki dunia zaidi ya 57.

Wilbroad Mutafungwa ambaye ni Kamanda Mkuu wa polis Mkoani Morogoro ameeleza kuwa zaidi ya watu 57 wamepoteza maisha kutokana na ajali ya Lori iliyotokea majira ya saa mbili asubuhi Mkoani humo.
    Mutafungwa ajali hiyo imetokea mita 200 tokea kilipo kituo kikuu cha mabasi cha Msamvu ukitokea Dar es salaam.
  Kwa upande wao baadhi ya Mashuhuda wamesema watu mbalimbali walianza kuchota mafuta muda mfupi mara baada ya Lori hilo la mafita kupinduka.












  

No comments

Powered by Blogger.