Header Ads

Header ADS

Mtoto Mchanga asababisha Mbunge kutimuliwa Bungeni Nchini Kenya

Shughuli za Bunge la Kenya zilisitishwa jumatano baada ya Mbunge wa kiti cha Wanawake Kaunti ya Kwale kuingia Bungeni na mtoto  wake.
      Spika wa Bunge Christopher Omulele,alimuamuru Bi Zuleikha Hassan ambaye alikuwa ameingia na mwanae mwenye umri wa miezi mitano kuondoka Bungeni akisema kuwa Bunge sio mahali sahihi pakumlelea mtoto wake.











  ''Nimefukuzwa Bungeni kwa sababu nilimpeleka mtoto  Bungeni.....Niliamua niende kazini na mtoto wangu, mtoto asingebaki peke yake au nikae nae nyumbani nisiende kazini''.Amesema Bi Zuleikha Hassan katika mazungumzo na BBC baada ya kufukuzwa na mwanae.

No comments

Powered by Blogger.