Ndege ya Tanzania yazuiliwa Afrika kusini
Mahakama Kuu Nchini Afrika kusini imezuia kuruka Ndege ya Air Tanzania na mpaka sasa haijatoa tamko lolote kuhusiana na hatua hiyo.
Ndege hiyo ya Air Tanzania ilikua inatarajia kuelekea Dar es salaam baada ya kutoka Afrika kusini
Kwa mujibu wa maelezo ya Balozi wa Tanzania anasema Ndege hiyo nchini Afrika kusini anasema ndege hiyo imezuiliwa mjini Johannesburg kwa amri ya Mahakama kuu.
Vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti kuwa abiria waliokuwemo ndani ya Ndege hiyo iliyozuiliwa kuondoka katika uwanja wa Oliver mjini hapo Johannesburg wameshatafutiwa usarifi mwingine na baadhi ya Mashirika Mengine ya Ndege
Aidha Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa Mkurugenzi Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Ladslaus Matindi amesema."Kuna safari nyingi zitzkazoahtiriwa kutokana na kushikiliwa kwa Ndege hiyo Air bus A220-300.
Matindi amelieleza pia Mwananchi abiria wote waliokata tiketi watataarifiwa kama kutakuwa kuna mabadiliko yoyote au kama itabaki kama ilivyopangwa awali.
Na mpaka sasa tayari Shirika hilo limeomba radhi wateja wake kupitia mtandao wa Twitter na kuongeza kwamba itafanyia marekebisho suala hilo.

No comments
Post a Comment