Header Ads

Header ADS

Magufuli afanya uteuzi JKT.

          Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk .John Pombe Magufuli amefanya uteuzi katika Jeshi la kutenga Taifa [JKT] kwa kumteua Brigedia Jenerali  Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT.Pia Mbuge anachukua nafasi ya Meja Jenerali Martin Busungu ambaye ametauliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la akiba.













    Kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo  wakati akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam.
Awali Aprili13, Rais Magufuli alimpandisha cheo Brigedia Jenerali Mbuge kutoka kuwa Luteni Kanali na kuwa Brigedia Jenerali.
Dk. Magufuli alimpandisha cheo hicho Brigedia Jenerali Mbuge baada ya kufurahishwa na utendaji wake wa kazi katika kusimamia ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali ikiwamo ujenzi wa ukuta wa Mirerani.
       

No comments

Powered by Blogger.