Mshambuliaji Cristiano Ronaldo Afikisha Magori 700
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo sasa amefikisha mabao 700 katika maisha yake ya soka. Ronaldo, amefunga goli la kufutia machozi, Ureno ikifungwa 2-1 na Ukraine katika mechi ya kuwania kufuzu Euro 2020.
Takwimu zake mpaka hivi sasa ni kama zifuatazo:
*. Sporting Lisbon: 5
*. Manchester United: 118
*. Real Madrid: 450
*. Juventus: 32
*. Portugal: 95
Jumla: Magoli 700
- Mechi 9️7️6️
- Mabao 7️0️0️
- Hat-trick 5️4️
- Direct Freekicks 5️5️
- Penati 1️1️3️
Takwimu zake mpaka hivi sasa ni kama zifuatazo:
*. Sporting Lisbon: 5
*. Manchester United: 118
*. Real Madrid: 450
*. Juventus: 32
*. Portugal: 95
Jumla: Magoli 700
- Mechi 9️7️6️
- Mabao 7️0️0️
- Hat-trick 5️4️
- Direct Freekicks 5️5️
- Penati 1️1️3️
No comments
Post a Comment