Header Ads

Header ADS

Mwanariadha Eliud Kipchoge aliyevunja Rekodi Ya Dunia

 Eliud Kipchoge ambaye ni Mwanariadha , alivunja rekodi ya dunia baada ya kukimbia kilomita 42 chini ya masaa mawili, hajaamua ni mashindano yapi ya mbio atashiriki licha ya kuelezea matumaini ya kushiriki mbio za Olimpiki za Tokyo mwaka wa 2020.
    Mameneja wa bingwa huyo kutoka Kenya wanatarajiwa kujadialana na kuamua huku akipumzika baada ya kuvunja rekodi kwa muda wa 1:59.40.













Vilevile Kocha wake Patrick Sanga amesema kuwa Mwanariadha huyo mwenye umri wa Miaka 34 atashiriki shindano moja kabla ya mbio za Tokyo 2020.
    

No comments

Powered by Blogger.