Header Ads

Header ADS

NACTA :Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78 ambapo waliofaulu ni asilimia 81.50 ya Watahiniwa 933,369
Katibu-Mtendaji-wa-NECTA-Dk.-Charles-Msonde-1
Pia, limesema Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu ambapo Baraza limesema limebaini Walimu Wakuu, Wasimamizi na walinzi walihusika kwenye udanganyifu.

No comments

Powered by Blogger.