Header Ads

Header ADS

Waziri Naibu Masauni afanya ziara katika Gereza la Kitai Mkoani Ruvuma.

    Mhandisi Hamad Masauni ambae ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akimsikiliza  Mkuu wa Gereza Kitai, Kamishna Msaidizi wa Magereza,Dkt. Sylivesta Shija baada ya  kukagua miundo mbinu ya bwawa litakalotumika kwa Kilimo cha Umwagiliaji katika shamba la Gereza Kitai ili kuondokana na tatizo la ukame linalosababisha kuporomoka kwa mazao.Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma kutembelea shamba hilo ambalo ni moja kati ya mashamba kumi ya magereza  nchini yaliyoteuliwa  kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
   Aidha,Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma kutembelea shamba la gereza hilo ambalo ni moja kati ya mashamba kumi ya magereza  nchini yaliyoteuliwa  kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.













   Lakini hata hivo Mhandisi Hamad Masauni amefanya ukaguzi wa miundo mbinu ya bwawa litakalotumika kwa Kilimo cha Umwagiliaji katika shamba la Gereza Kitai ili kuondokana na tatizo la ukame linalosababisha kuporomoka kwa mazao.Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma kutembelea shamba hilo ambalo ni moja kati ya mashamba kumi ya magereza  nchini yaliyoteuliwa  kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
    Hata hivo Sajenti Patrick Mmela amemueleza  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni kuhusiana na mtambo wa kufulia umeme uliokuwa ukitumika katika bwawa lililopo Gereza la Kilimo na Mifugo Kitai ambalo jeshi la magereza wameelekezwa kulitumia bwawa hilo kwa kilimo cha umwagiliaji ili kuondokana na tatizo la ukame katika mashamba ya gereza hilo ambalo ni moja kati ya magereza kumi nchini yaliyopo katika mkakati wa kulisha wafungwa. Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma kutembelea gereza  hilo ambalo ni moja kati ya magereza kumi  nchini yaliyoteuliwa  kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
    Lakini pia Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amezungumza na Uongozi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Songea baada ya kukagua shehena ya mahindi iliyohifadhiwa katika Gereza la Kilimo na Mifugo Kitai.Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma  kutembelea gereza  hilo ambalo ni moja kati ya magereza kumi  nchini yaliyoteuliwa  kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa
  Imeripotiwa na Mwandishi wetu;Adolf Mwingira

No comments

Powered by Blogger.