Header Ads

Header ADS

Mchuano Mkali Leo Dhidi Ya Yanga Na Pyramid FC

  Kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho Barani Africa, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC, Leo Jumapili wapo dimba la Ugenini nchini Misri kukipiga na Pyramids FC katika mechi ya marudiano.

  Hata hivyo,Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba, jijini Mwanza klabu ya Pyramids FC iliibuka na ushindi wa bao 2-1.

Mechi hiyo inatarajia kuanza saa tatu kamili ( 3:00) usiku.

No comments

Powered by Blogger.