Mkuu wa Shule apewa adhabu kwa kosa la Mwanafunzi kujifungulia Shuleni
Mkuu wa Shule ya Sekondari Kiangara pamoja na Matroni wa shule hiyo wamechukuliwa hatua za kinidhamu kwa kile kinachodaiwa wameshindwa kuwajibika ipasavyo.Mwanafunzi huyo anadai mwanzoni hakuwa anajifahamu kama ni mjamzito mpaka siku alipojifungua na hata Walimu na Matroni nao kwa kipindi chote hawakugundua kuwa Mwanafunzi huyo ana mimba.
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Liwale Sarah Chiwamba amesema Mkuu wa Shule na Matron wamevuliwa Madaraka, na bado Polisi wanaendelea kumtafuta Kijana aliyempa mimba mwanafunzi huyo na kisha kutoroka.

No comments
Post a Comment