Mkurugenzi wa Hospital Wuhan, China, Liu Zhiming amefariki dunia kwa ugonjwa wa Corona,
Mkurugenzi wa Hospital Wuhan, China, Liu Zhiming amefariki dunia kwa ugonjwa wa Corona, taarifa imetolewa na Viongozi wa eneo hilo na alikuwa Mfanyakazi mwandamizi zaidi wa kiafya aliyefariki kutokana na janga la corona virus.
Liu Zhiming amefariki jana jumanne kwa maambukizi ya virusi vya corona na anakuwa ni Mfanyakazi wa kwanza mwandamizi zaidi wa kiafya kufariki kutokana na virusi hivyo.
No comments
Post a Comment