Header Ads

Header ADS

Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 43 ya CCM Dodoma vijijini zimenoga.

  Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg.Philipo Mangula ambaye ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 43 ya CCM mkoa wa Dodoma akifatilia shamrashara hizo kabla kutoa hotuba kwa wananchi wa mkoa wa Dodoma


. Aidha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge, ambaye amehudhuria maadhimisho ya miaka 43 ya CCM  ambapo CCM Dodoma chama na jumuiya zake zote tatu kuanzia shina,Tawi,Kata,Wilaya na Mkoa wa Dodoma akiafatilia shamrashamra hizo
 Sheikh wa Mkoa wa Dodoma akitoa Dua kwenye maadhimisho ya miaka 43 ya CCM naMchungaji akitoa neno la Bwana kwenye Maadhimisho ya miaka 43 ya CCM mkoani Dodoma.
  Hata hivyo,Sehemu ya wanachama wa CCM waliofurika katika maadhimisho ya miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dodoma wakifatilia sherehe hizo.

No comments

Powered by Blogger.