Naamini kupitia mafundisho haya MUNGU atakufungua ufahamu na akili yako, pia lile jambo alilolikusudia MUNGU kwako kupitia somo hili kutoka kwa mtumishi wa MUNGU mwalimu Wilbert Dugange, utapokea.Mtumishi wa MUNGU anapatikana Makambako, NjombeKwa shida mbalimbali, Ushauri na maombezi :NO: 0764739848
No comments
Post a Comment