RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA ROOFINGS LTD KINACHOTENGENEZA MALIGHAFI YA CHUMA,BATI NA BOMBA NCHINI UGANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti ambaye pia Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kutengeneza Mabati na Mabomba (roofings ltd) Dkt. Sikander Lalani wakati akitembelea na kujionea kazi za uzalishaji wa malighafi ya chuma, bati na bomba katika Kiwanda hicho, Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuitembelea na kujionea kazi za uzalishaji wa malighafi ya chuma, bati na bomba katika Kiwanda cha Roofings Ltd, Kampala nchini Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kutengeneza Mabati na Mabomba (roofings ltd) Dkt. Sikander Lalani wakati akitembelea Kiwanda hicho kujionea kazi za uzalishaji wa malighafi ya chuma, bati na bomba, Kampala nchini Uganda
No comments
Post a Comment