Majaliwa akagua mashamba yaliyoharibiwa na Tembo Nachingwea
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Athumani Mohamed Nkabuye wakati alipokagua shamba la mtama la mzee huyo ambalo limeharibiwa na tembo waliokula zao hilo katika kijiji cha Namapuya wilayani Nachingwe, Julai 6, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Lindi, Zainab Telack.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Athumani Mohamed Nkabuye wakati alipokagua shamba la mtama la mzee huyo ambalo limeharibiwa na tembo waliokula zao hilo katika kijiji cha Namapuya wilayani Nachingwe, Julai 6, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Lindi, Zainab Telack na kula ni Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Hashim Abdallah Komba.
No comments
Post a Comment