Picha: Rais Samia akiwa uwanja wa ndege kuelekea Dakar Senegal
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Phillip Mpango akimuaga Rais Samia Suluhu Hassan, uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akielekea Dakar -Senegal kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika zinazonufaika na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 6 Julai 2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam,akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kabla ya kuondoka kuelekea Dakar nchini Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa).
No comments
Post a Comment