Wizara ya maliasili na utalii yateua Mwenyekiti na wajumbe wa bodi ya wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii
Chana amefanya uteuzi
huo kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 5 (4) cha Sheria ya Wakala za
Serikali Sura 245 kikisomwa kwa pamoja na Aya ya 2.2 ya Amri ya kuanzishwa kwa
Chuo hicho cha Taifa cha Utalii. Aidha, amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi
ya Chuo cha Taifa cha Utalii Tanzania (NCT): –
1.
Prof. Wineaster Anderson, Prof. Mshiriki, Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam – Shule ya Biashara;
2.
Bw. Matendo Bwire Manono, Wakili Mkuu II, Ofisi ya Mwanasheria
Mkuu wa Serikali;
3.
CPA. Suzana Steve Chaula, Mhasibu Mkuu, Mamlaka ya Maendeleo ya
Biashara Tanzania (TANTRADE);
4.
Bw. Enock Robert Wagala, Mkurugenzi wa Mipango, Wakala wa Maji
na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA);
5.
Bibi Gerwalda Florence Luoga, Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti
ya Rasilimaliwatu, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Uteuzi huu ni wa miaka mitatu kuanzia
tarehe 12 Julai, 2022 hadi 11 Julai, 2025.
No comments
Post a Comment