Header Ads

Header ADS

Waziri Mkuu Majaliwa akagua Majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali Dodoma

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, wakati alipokagua  maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali-Mtumba, Dodoma

Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji  wa  Serikali – Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.